MAJALIWA NA KAMPENI ZA CCM SIMANJIRO..! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 5 September 2020

MAJALIWA NA KAMPENI ZA CCM SIMANJIRO..!

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Mererani Mkoani Manyara akiwa katika kampeni za CCM  wilayani Simanjiro, Septemba 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Wananchi  wa Orkesumet wakimpungia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa kampeni  za CCM katika jimbo la Simanjiro, Septemba 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Mererani Mkoani Manyara akiwa katika kampeni za CCM  wilayani Simanjiro, Septemba 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na mgombea Ubunge jimbo la Simanjiro, Christopher Ole Sendeka wakishuhudia  wakati  Neema Nakembetwe aliposoma hadharani Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020 – 2025 kifungu kinachozungumzia ujenzi wa barabara  ya Kongwa mkoani Dodoma hadi KIA kupitia wilayani  Simanjiro kwa kiwango cha lami. Mheshimia Majaliwa alimwita Neema asome kifungu hicho wakati aliposimama katika kijiji cha Lendanai  baada ya kukuta wananchi wengi wamejipanga barabarani wakiwa na kiu ya kumsikiliiza. Alikuwa akitoka Orkesumet wilayani Simaniro ambako alihutubia mkutano wa kampeni, Septemba 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment