MAJALIWA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAGUGU BABATI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 2 September 2020

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAGUGU BABATI

 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Magugu wilayani Babati waliojipanga barabarani wakimtaka asimame na kuzungumza nao, Agosti 2, 2020. Alikuwa akitoka Babati kwenda Mto wa Mbu wilayani Monduli kuzindua Kampeni za CCM wilayani humo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment