Wananchi wakiwa wamesongamana kugombea kuingia kwenye viwanja vya Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati vilivyopo Nzuguni, jijini Dodoma. Kiingilio kilikuwa sh. 1000 kwa wakubwa na watoto sh. 500. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Mkaa Mweupe, Aristotre Nikitas akipokea cheti ushindi wa pili wa kundi la Wajasiriamali na Wawekezaji Wadogo kutoka kwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Ulemavu), Stelah Ikupa
Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Ulemavu), Steah Ikupa akiwakabidhi maofisa wa Wizara ya Maliasili na Utalii, cheti cha ushindi wa kwanza kundi la Wizara Sekta ya Uchumi Uzalishaji katika maonesho hayo yaliyofikia kilele leo. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa wizara hiyo. Doreen Makaya.
No comments:
Post a Comment