Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya, Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima na Paroko wa Kanisa hilo Paul Mapalala baada ya kushiriki Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka "A" ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino Jumapili Agosti 23, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua msikiti wa Chamwino na maemneo yake baada ya kuendesha harambee ya kuchangia ujenzi wake wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka "A" wakati wa uzinduzi wa Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino Jumapili Agosti 23,. 2020.
Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino Jumapili Agosti 23, 2020.
Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha harambee kuchangia ujenzi wa Msikiti wa Chamwino wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka "A" ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino Jumapili Agosti 23, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi michango kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya aliposhiririki iliyotokana na harambee kuchangia ujenzi wa Msikiti wa Chamwino wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka "A" ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino Jumapili Agosti 23, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya aliposhiririki Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka "A" na kuzindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili Agosti 23, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya aliposhiririki Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka "A" na kuzindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino Jumapili Agosti 23, 2020.
UKWELI KUHUSU UMEME KUTOKA KENYA
-
Baada ya kauli ya Rais Samia ya kununua umeme kutoka Kenya, kumeibuka
mjadala mkali.
Nimemtafuta mtaalamu serikalini afafanue. Naye ameniambia hivi: Unu...
WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA VIONGOZI WA DINI
-
*WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasihi viongozi wa dini nchini waendelee
kukemea vikali vitendo vyote ambavyo ni kinyume na maadili ya dini na
utamad...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
WATAFITI UDSM WAZUNGUMZA NA VIONGOZI WA TBN
-
*Wataalam kutola Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) waliotembelea Tanzania
Bloggers Network (TBN)kutoka kushoto, Dkt.Said Suluo, Dkt. Patrokil Kanje
na ...
No comments:
Post a Comment