MWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANACHAMA WA DODOMA AKICHUKUA FOMU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 6 August 2020

MWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANACHAMA WA DODOMA AKICHUKUA FOMU

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha Ilani ya Uchaguzi wakati akikongea na  wanachama wa CCM wa Dodoma baada ya kutoka kuchukua fomu hizo za kugombea Urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikongea na  wanachama wa CCM wa Dodoma baada ya kutoka kuchukua fomu hizo za kugombea Urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais na Mgombea Mwenza katika Uchaguzi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan wakionesha fomu za udhamini kwa wanachama wa CCM wa Dodoma baada ya kutoka kuchukua fomu hizo za kugombea Urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo.

No comments:

Post a Comment