MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM JIJINI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 18 August 2020

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM JIJINI DODOMA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi akiwasili kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM.


Rais wa Zanzibar akiwasili kuhudhuria kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Visiwani Dkt. Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana leo Agosti 18,2020 Ikulu Chamwino Dodoma. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi akijiandaa kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana leo Agosti 18,2020 Ikulu Chamwino Dodoma.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana leo Agosti 18,2020 Ikulu Chamwino Dodoma.

No comments:

Post a Comment