NAIBU WAZIRI DKT. MOLLELAWASILI OFISINI KWAKE MTUMBA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 22 May 2020

NAIBU WAZIRI DKT. MOLLELAWASILI OFISINI KWAKE MTUMBA

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Godwin Oloyce Mollel akisalimiana na watumishi wa Wizara hiyo mara baada ya kuwasili ofisini kwake Mtumba Jijini Dodoma leo tarehe 21 Mei, 2020 baada ya kuapishwa kushika nafasi hiyo. Kushoto ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu.


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Godwin Oloyce Mollel akitia saini kitabu mara baada ya kuwasili ofisini kwake Mtumba Jijini Dodoma leo tarehe 21 Mei, 2020 baada ya kuapishwa kushika nafasi hiyo.


No comments:

Post a Comment