RAIS MHE. DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI CAG KWA MWAKA 2018/19 PAMOJA NA TAARIFA YA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA PCCB KATIKA IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday 26 March 2020

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI CAG KWA MWAKA 2018/19 PAMOJA NA TAARIFA YA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA PCCB KATIKA IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya Mwaka 2018-2019 kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 26/03/2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya Mwaka 2018-2019 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kupokea Ripoti mbili za Mwaka 2018/19, moja kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kutoka kwenye ukumbi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma ambapo alipokea Ripoti mbili za Mwaka 2018/2019 kutoka Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa PCCB pamoja na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Taarifa ya Mwaka 2018/2019 ya CAG pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi mara baada ya kuwakabidhi pamoja na Taarifa ya TAKUKURU kwa ajili ya kuzifanyia kazi.


No comments:

Post a Comment