MATUKIO PICHA : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MJUMBE MAALUMU WA KANSELA WA UJERUMANI NA PROFESA PLO LUMUMBA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 24 February 2020

MATUKIO PICHA : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MJUMBE MAALUMU WA KANSELA WA UJERUMANI NA PROFESA PLO LUMUMBA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika Bw. Guenter Nooke na ujumbe wake alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24. 2020. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Ibuge

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Msomi na Mwanamajumui (Pan-Africanist) Kutoka Kenya Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba) alipokutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na  Msomi na Mwanamajumui (Pan-Africanist) kutoka Kenya Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba) alipokutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020. Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila

No comments:

Post a Comment