RAIS DKT MAGUFULI AWASILI ZANZIBAR KUSHIRIKI SHEREHE ZA MIAKA 56 ZA MAPINDUZI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 10 January 2020

RAIS DKT MAGUFULI AWASILI ZANZIBAR KUSHIRIKI SHEREHE ZA MIAKA 56 ZA MAPINDUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sheikh Abeid Amani Karume mjini Unguja tayari kushiriki katika Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zitazofikia kilele siku ya Jumapili Januari 12, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibare Balozi Seif Ali Iddi (aliyeketi) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdallah Juma Sadallah 'Mabodi' mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sheikh Abeid Amani Karume mjini Unguja  tayari kushiriki katika Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zitazofikia kilele siku ya Jumapili Januari 12, 2020.

No comments:

Post a Comment