RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWAJULIA HALI WAGONJWA WALIOLAZWA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA CHATO PAMOJA NA MZEE ZEFANIA KANOGE PETRO (82) AMBAYE ALIMSHAWISHI KUINGIA KWENYE SIASA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 6 December 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWAJULIA HALI WAGONJWA WALIOLAZWA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA CHATO PAMOJA NA MZEE ZEFANIA KANOGE PETRO (82) AMBAYE ALIMSHAWISHI KUINGIA KWENYE SIASA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mzee Zefania Kanoge Petro 82 ambaye anapatiwa matibabu katika hospitali ya Wilaya ya Chato mkoani Geita. Mzee Kanoge ndiye aliyemshawishi Mhe.Rais Dkt. Magufuli kuingia kwenye Siasa wakati alipokuwa akifanyakazi katika Mkoa wa Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mzee Zefania Kanoge Petro 82 ambaye anapatiwa matibabu katika hospitali ya Wilaya ya Chato mkoani Geita. Mzee Kanoge ndiye aliyemshawishi Mhe.Rais Dkt. Magufuli kuingia kwenye Siasa wakati alipokuwa akifanyakazi katika Mkoa wa Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Muungano ya Chato wakati wakati alipowakuta katika Kiliniki wa Baba Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Chato wakisubiri kuchomwa Sindano za Chanjo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wazazi waliowapeleka watoto wao kupewa chanjo katika Kliniki ya Baba Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Chato.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali pamoja na Madaktari wa Hospitali hiyo ya Chato mara baada ya kuwajulia hali wagonjwa pamoja na kutembelea Kliniki ya Watoto hospitalini hapo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafiwa katika msiba wa mzee Mariganya Ng’wenge aliyefariki tarehe 4/11/2019 na anatarajiwa kuzikwa kesho Choto mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mkazi wa Chato Venance Magege wakati aliposimama kuwasalimia wananchi wa Chato mjini.

No comments:

Post a Comment