![]() |
| Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias John Kwandikwa pamoja na msafara wa ziara yake wakivuka daraja la muda lililojengwa na wananchi Tarafa ya Magoma. |
![]() |
| Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias John Kwandikwa (mbele) akivuka daraja la muda lililojengwa na wananchi Tarafa ya Magoma akiwa katika ziara hiyo. |
![]() | |
| Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias John Kwandikwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Kwashemshi katika ziara yake. |
![]() |
| Wananchi wa Magoma wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi alipozungumza nao mara baada ya kukagua athari za mvua wilayani Korogwe. |
![]() |
| Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhe. Kwandikwa akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Tarafa ya Magoma. |
![]() |
| Wananchi wa Kata ya Kwashemshi wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi (hayupo pichani) alipozungumza nao mara baada ya kukagua athari za mvua wilayani Korogwe. |
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias John Kwandikwa akisitiza jambo amekagua barabara zilizoathiriwa na mvua wilayani Korogwe. Katika ziara hiyo, Kwandikwa amesisitiza kuongezwa kwa kasi ya ukarabati wa barabara maeneo ya Kwashemshi na Magoma yalioathirika zaidi ili kurudisha haraka huduma za kijamii na kiuchumi kwa jamii.
Ziara ya Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhe. Kwandikwa ni mwendelezo wa ziara yake mkoani Tanga kukagua miundombinu ya barabara na madaraja yaliyoathiriwa na mvua zilizonyesha hivi karibuni.







No comments:
Post a Comment