MATUKIO PICHA SHEREHE ZA MIAKA 58 YA UHURU WA TANZANIA BARA PAMOJA NA MIAKA 57 YA JAMHURI, RAIS MAGUFULIA AHUTUBIA…! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 9 December 2019

MATUKIO PICHA SHEREHE ZA MIAKA 58 YA UHURU WA TANZANIA BARA PAMOJA NA MIAKA 57 YA JAMHURI, RAIS MAGUFULIA AHUTUBIA…!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi katika sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na miaka 57 ya Jamhuri zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijjini Mwanza.

Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Gwaride la Heshma liliondaliwa na vikosi mbalimbali vya Majeshi ya Polisi, Magereza na JWTZ yakipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na miaka 57 ya Jamhuri zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijjini Mwanza.

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Gwaride la Heshma liliondaliwa na vikosi mbalimbali vya Majeshi ya Polisi, Magereza na JWTZ yakipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na miaka 57 ya Jamhuri zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijjini Mwanza.

Gwaride la Heshma liliondaliwa na vikosi mbalimbali vya Majeshi ya Polisi, Magereza na JWTZ yakipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na miaka 57 ya Jamhuri zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijjini Mwanza.

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Kikosi cha Makomando wa JWTZ wakionesha umahiri wao wa kufanya zoezi la uokozi katika mfano wa Tukio la Utekaji.

Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Kikosi cha Makomando wa JWTZ wakionesha umahiri wao wa kufanya zoezi la uokozi katika mfano wa Tukio la Utekaji.

Kikosi cha Makomando wa JWTZ wakionesha umahiri wao wa kufanya zoezi la uokozi katika mfano wa Tukio la Utekaji.

Kikosi cha Makomando wa JWTZ wakionesha umahiri wao wa kufanya zoezi la uokozi katika mfano wa Tukio la Utekaji.

Kikosi cha Makomando wa JWTZ wakionesha umahiri wao wa kufanya zoezi la uokozi katika mfano wa Tukio la Utekaji.

Kikosi cha Makomando wa JWTZ wakionesha umahiri wao wa kufanya zoezi la uokozi katika mfano wa Tukio la Utekaji.

Kikosi cha Makomando wa JWTZ wakionesha umahiri wao wa kufanya zoezi la uokozi katika mfano wa Tukio la Utekaji.

Kikundi cha Sungusungu cha kutoka Kwimba mkoani Mwanza kikitumbuiza katika sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na miaka 57 ya Jamhuri zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijjini Mwanza.

Viongozi mbalimbali wakiwemo Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini wakimpungia mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiondoka katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mara baada ya sherehe za Uhuru. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment