BENKI YA NMB YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 58 YA UHURU, MWANZA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 9 December 2019

BENKI YA NMB YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 58 YA UHURU, MWANZA

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna (katikati mwenye suti nyeusi) na wageni mbalimbali waalikwa wakiwa katika Sherehe za Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru zinazofanyika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Maadhimisho ya Sherehe za miaka 58 ya Uhuru Tanzania Bara zinazofanyika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Viongozi mbalimbali wa Benki ya NMB wakiwa kwenye Sherehe za Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru zinazofanyika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Viongozi na wageni mbalimbali waalikwa wakiwa katika Sherehe za Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru zinazofanyika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Hivi ndivyo Benki ya NMB imeshiriki kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru wa miaka 58 yanayoendelea leo katika uwanja  wa CCM Kirumba, Mwanza.

No comments:

Post a Comment