RAIS DK MAGUFULI AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 58 YA UHURU NA 57 YA JAMHURI UWANJA WA CCM KIRUMBA, MWANZA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 9 December 2019

RAIS DK MAGUFULI AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 58 YA UHURU NA 57 YA JAMHURI UWANJA WA CCM KIRUMBA, MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea heshima baada ya kuwasili katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza  kuongoza Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya
Jamhuri leo Jumatatu December 9, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza  kuongoza Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri leo Jumatatu December 9, 2019.

Muonekano wa Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri zilizoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu December 9, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza  katika Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri
leo Jumatatu December 9, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza  katika Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri leo Jumatatu December 9, 2019.

Muonekano wa Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri zilizoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu December 9, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembea kukakamavu kuelekea jukwaa kuu baada ya kuikagua gwaride la heshima Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza  katika
Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri leo Jumatatu December 9, 2019. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment