RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATOA POLE KWA FAMILIA YA MZEE SUGWA ALIYEFIWA NA MKEWE BI. SABINA NDEGE KILANDA NA MWANAE SHIJA SUGWA KATIKA KIJIJI CHA KATENDE WILAYA YA CHATO MKOANI GEITA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 30 November 2019

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATOA POLE KWA FAMILIA YA MZEE SUGWA ALIYEFIWA NA MKEWE BI. SABINA NDEGE KILANDA NA MWANAE SHIJA SUGWA KATIKA KIJIJI CHA KATENDE WILAYA YA CHATO MKOANI GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za mwisho katika kaburi la Bi. Sabina Ndege Kilanda Mke wa Mzee Sugwa aliyefariki duni Septemba 15, 2019 katika kijiji cha Katende Wilayani Chato mkoani Geita. Rais Dkt. Magufuli ametoa pole kwa Mzee Sugwa kufuatia kifo cha Mkewe pamoja na Mwanae Shija Sugwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea Makaburini kwaajii ya kutoa heshima zake mwisho kwenye kaburi la Bi. Sabina Ndege Kilanda Mke wa Mzee Sugwa aliyefariki duni Septemba 15, 2019 katika kijiji cha Katende Wilayani Chato mkoani Geita. Rais Dkt. Magufuli ametoa pole kwa Mzee Sugwa kufuatia kifo cha Mkewe pamoja na Mwanae Shija Sugwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitazama Makaburi ya Familia ya Mzee Sugwa mara baada kutoa heshima za mwisho kwenye kaburi la Bi. Sabina Ndege Kilanda Mke wa Mzee Sugwa aliyefariki duni Septemba 15, 2019 katika kijiji cha Katende Wilayani Chato mkoani Geita. Rais Dkt. Magufuli ametoa pole kwa Mzee Sugwa kufuatia kifo cha Mkewe pamoja na Mwanae Shija Sugwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mzee Sugwa alipomtembelea na kutoa pole kwa  kufiwa na Mkewe Marehemu Bi. Sabina Ndege Kilanda aliyefariki dunia Septemba 15, 2019 na mwanae Shija Sugwa katika kijiji cha Katende Wilayani Chato mkoani Geita. 

No comments:

Post a Comment