RAIS DK MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI MSAMVU MOROGORO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 20 November 2019

RAIS DK MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI MSAMVU MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa Msamvu mkoani Morogoro mara baada ya kusimama.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika kero mbalimbali walizokuwa wakizitoa wananchi waliosimama pembezoni mwa Stendi ya Mabasi ya Msamvu mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa Msamvu mkoani Morogoro mara baada ya kusimama. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpigia simu Mkurugenzi Mkuu wa NIDA mara baada ya kupokea kero ya ucheleweshwaji wa vitambulisho vya Taifa katika eneo la Msamvu mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa Msamvu mkoani Morogoro mara baada ya kusimama. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mmoja wa wafanya usafi wa Stendi ya Mabasi Msavu aliposimama na kuzungumza na wananchi waliosimama pembezoni mwa Stendi ya Mabasi ya Msamvu mkoani Morogoro. PICHA ZOTE NA IKULU.

Sehemu ya Wananchi wa Msamvu mkoani Morogoro waliokuwa wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara aliposimama katika eneo hilo. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment