RAIS DK MAGUFULI AWEKA MAWE YA MSINGI KATIKA MIRADI YA HOSPITALI YA UHURU, SOKO KUU, NYUMBA ZA POLISI NA STENDI KUU YA MABASI JIJINI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 22 November 2019

RAIS DK MAGUFULI AWEKA MAWE YA MSINGI KATIKA MIRADI YA HOSPITALI YA UHURU, SOKO KUU, NYUMBA ZA POLISI NA STENDI KUU YA MABASI JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai akifunua pazia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Uhuru inayojengwa maeneo ya Chamwino jijini Dodoma alikoiwekea jiwa la msingi leo Ujenzi wa Hospitali hiyo umewezekana baada ya Rais Magufuli kuelekeza kiasi cha Shilingi Milioni 995.18 ambazo zilipangwa kutumika kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru mwaka jana zipelekwe kwenmye ujenzi wa hospitali hiyo ya kisasa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipekeana mikono na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugaio baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Uhuru inayojengwa maeneo ya Chamwino jijini Dodoma alikoiwekea jiwa la msingi leo. Ujenzi wa Hospitali hiyo umewezekana baada ya Rais Magufuli kuelekeza kiasi cha Shilingi Milioni 995.18 ambazo zilipangwa kutumika kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru mwaka jana zipelekwe kwenmye ujenzi wa hospitali hiyo ya kisasa. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelekezo ya maendeleo ya ujenzi kutoka kwa Mkuu wa JKT Brigedia Jenerali Charles Mbuge baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Uhuru inayojengwa maeneo ya Chamwino jijini Dodoma alikoiwekea jiwa la msingi leo Ujenzi wa Hospitali hiyo umewezekana baada ya Rais Magufuli kuelekeza kiasi cha Shilingi Milioni 995.18 ambazo zilipangwa kutumika kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru mwaka jana zipelekwe kwenmye ujenzi wa hospitali hiyo ya kisasa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro akiwasili  eneo la Nzuguni jijini Dodoma Leo Tayari kuweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro akifunua pazia kuashiria uwekaji wa  jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makaki ya Askari Polisi eneo la Nzuguni jijin Dodoma Leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro baada ya kweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi eneo la Nzuguni jijin Dodoma Leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifunua kitambaa kuweka jiwe la Msingi la  Ujenzi wa Soko kuu la jiji la Dodoma ambalo litaitwa Soko Kuu la (Spika wa Jamhuri ya Muungano
Mhe. Job Ndugai eneo la Nzuguni.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiondoka baada ya kuweka jiwe la Msingi la  Ujenzi wa Soko kuu la jiji la Dodoma ambalo litaitwa Soko Kuu la (Spika wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai eneo la Nzuguni jijini Dodoma leo. PICHA NA IKULU.


No comments:

Post a Comment