RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA SUMBAWANGA –KANAZI KM 75 PIA AFUNGUA MIRADI YA MAENDELEO NKASI MKOANI RUKWA - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Tuesday, 8 October 2019

demo-image

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA SUMBAWANGA –KANAZI KM 75 PIA AFUNGUA MIRADI YA MAENDELEO NKASI MKOANI RUKWA

1+-+2019-10-09T023008.020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaack Kamwelwe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Sumbawanga-Kanazi km 75 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Kanazi mkoani Rukwa. 

3+-+2019-10-09T023024.266
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaack Kamwelwe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Sumbawanga-Kanazi km 75 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Kanazi mkoani Rukwa. 

5+%252888%2529
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kanazi mara baada ya kufungua barabara ya Sumbawanga-Kanazi km 75 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Kanazi mkoani Rukwa. 

6+%252859%2529
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli watano kutoka kulia walioshika utepe, Wabunge wa mkoa wa Rukwa, Kamati ya Miundombinu, Mawaziri, akakata utepe kufungua barabara ya Sumbawanga-Kanazi km 75 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Kanazi mkoani Rukwa. 

7+%252851%2529
Sehemu ya Barabara ya Sumbawanga-Kanazi km 75 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami kama inavyoonekana.

10+%252833%2529
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gril la dirisha la moja ya chumba  cha hospitali ya Wilaya ya Nkasi mara baada ya kuweka jiwe la msingi.

11+%252825%2529
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kituo cha Afya cha Nkomolo Nkasi mkoani Rukwa.

12+%252819%2529
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo, Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugora, Mbunge wa Nkasi Ally Keissy, akikata utepe kuashiria ufunguzi kituo cha Afya cha Nkomolo Nkasi mkoani Rukwa.

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *