![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi kijiji cha Chala wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa akiwa njiani akitokea Sumbawanga leo Oktoba 8, 2019. |
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisoma mango kabla ya kuikata utepe kuzindua barabara ya Sumbawanga-Kanazi mkoani Rukwa leo Oktoba 8, 2019. |
![]() |
Sehemu ya barabara ya Sumbawanga-Kanazi yenye urefu wa kilometa 75 iliyozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli leo Oktoba 8. |
No comments:
Post a Comment