RAIS MSTAAFU, MHE. KIKWETE AWASILISHA UJUMBE MAALUM WA RAIS SAMIA NCHINI GUINEA YA IKWETA - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Monday, 14 April 2025

demo-image

RAIS MSTAAFU, MHE. KIKWETE AWASILISHA UJUMBE MAALUM WA RAIS SAMIA NCHINI GUINEA YA IKWETA

 

WhatsApp%20Image%202025-04-14%20at%2007.43.58_de44752d

WhatsApp%20Image%202025-04-14%20at%2007.43.57_452aa99c

WhatsApp%20Image%202025-04-14%20at%2007.43.54_7bccb5fd

WhatsApp%20Image%202025-04-14%20at%2007.43.47_a8844b14

WhatsApp%20Image%202025-04-14%20at%2007.43.42_ce7d29d0

RAIS Mstaafu wa Tanzania na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewasilisha Ujumbe Maalum ambao ulipokewa na Waziri wa Nchi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Guinea ya Ikweta, Mhe. Simeon Oyono Esono Angue, kwa niaba ya Rais wa nchi hiyo, Mhe. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo.

Uwasilishaji wa ujumbe huo ulifanyika katika ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje jijini Malabo tarehe 13 Aprili 2025.

Katika tukio hilo, Mhe. Kikwete pia alitoa salamu za Rais Samia, akisisitiza umuhimu wa nchi za Afrika kuimarisha ushirikiano, mshikamano, na umoja ili kukabiliana kwa pamoja na changamoto zinazokabili Bara la Afrika na dunia kwa ujumla.


WhatsApp%20Image%202025-04-14%20at%2007.43.39_c3032223

WhatsApp%20Image%202025-04-14%20at%2007.44.02_c6b1faa3

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *