MAJALIWA AZINDUA MAFUNZO YA KILIMO KUPITIA TEKINOLOJIA YA KITALU NYUMBA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 11 October 2019

MAJALIWA AZINDUA MAFUNZO YA KILIMO KUPITIA TEKINOLOJIA YA KITALU NYUMBA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama nyanya wakati alipozindua  mradi wa mafunzo ya kilimo kupitia tekinolojia ya kitalu nyumba kwenye viwanja vya Nanenane, Ngongo, Lindi Oktoba 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua mradi wa mafunzo ya kilimo kupitia tekinolojia ya kitalu nyumba kwenye viwanja vya Nanenane, Ngongo mkoani Lindi, Oktoba 10, 2019. Wa pili kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana, Kazi na Wenye Ulemavu, Jenista  Mhagama na  kulia ni Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Zanzibar, Balozi Ali Karume. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na kushoto ni Tausi Hassan kutoka  Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu   (UNFPA). (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Mradi wa mafunzo ya kilimo kupitia tekinolojia ya kitalu nyumba kwenye viwanja vya Nanenane wa Ngongo, Lindi Oktoba 10, 2019. Wa tatu  kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana, Kazi na Wenye Ulemavu, Jenista  Mhagama na  wa pili kulia ni Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Zanzibar, Balozi Ali Karume.  Wa tatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Lindi, Fadhili Juma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment