NMB YASHIRIKI JUKWAA LA BIASHARA BAINA YA TANZANIA NA UGANDA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 8 September 2019

NMB YASHIRIKI JUKWAA LA BIASHARA BAINA YA TANZANIA NA UGANDA

Kaimu Mkurunzi Mtendaji Benki ya NMB, Filbert Mponzi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima (kushoto) walipohuduria mkutano wa Jukwaa la Biashara baina ya Tanzania na Uganda, lililofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.

Kaimu Mkurunzi Mtendaji Benki ya NMB, Filbert Mponzi (kulia) akijadiliama jambo na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam malima (kushoto) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti walipohuduria mkutano wa Jukwaa la Biashara baina ya Tanzania na Uganda, lililofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Na Mpigapicha Wetu.

No comments:

Post a Comment