Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 6.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, nje ya jengo la Bunge, jijini Dodoma, Septemba 6.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Capital Dodoma, nje ya jengo la Bunge, jijini Dodoma, Septemba 6.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). |
No comments:
Post a Comment