FARU TISA WAINGIZWA NCHINI WAKITOKEA AFRIKA KUSINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 10 September 2019

FARU TISA WAINGIZWA NCHINI WAKITOKEA AFRIKA KUSINI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Costantine Kanyasu akiangalia Faru walioletwa nchini alfajiri ya jana wakitokea nchini Afrika Kusini,Faru hao tisa kati ya kumi wameletwa na Kampuni ay Guruneti inayofanya shughughuli za uhifadhi hapa nchini.

Moja ya Makasha yenye Wanyama aina ya Faru likipandishwa kwwnye ndege tayari kupelekwa kwenye moja ya Hifadhi za Taifa mara baada ya kuwasili wakitokea nchini Afrika Kusini. (Picha zote na Dixon Busagaga)

No comments:

Post a Comment