RAIS DK MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday 7 June 2019

RAIS DK MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC katika Kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakati wakisikiliza hoja mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC katika Kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC pamoja na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini wakiwa katika Kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.

Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya  mbalimbali nchini wakichangia hoja mbalimbali katika Kikao chao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kitabu pamoja na Flash Disk ambazo zina majina  na orodha ya Makampuni ya Wafanyabiashara 17447 ambayo yamekuwa yakifanya udanganyifu ikiwemo ukwepaji wa kodi mara baada ya kikao na Wafanyabiashara  Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment