IDARA YA BIASHARA YA VODACOM TANZANIA YAFUTURISHA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 3 June 2019

IDARA YA BIASHARA YA VODACOM TANZANIA YAFUTURISHA

Waziri wa maliasili na utalii, Mh Hamis Kigwangalla (Katikati) akifurahi jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vodacom, Hisham Hendi (Kushoto) wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na Idara ya biashara ya kampuni hiyo katika kuadhimisha mwezi mtukufu wa ramadhani pamoja wateja wake jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh Hamis Kigwangalla akipakua chakula na wageni wengine wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na kitengo cha Biashara cha kampuni ya Vodacom Tanzania kuadhimisha mwezi mtukufu wa ramadhani pamoja na wateja wake hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

Wageni mbalimbali kwenye hafla ya futari hiyo iliyoandaliwa na Idara ya biashara ya kampuni ya Vodacom Tanzania kuadhimisha mwezi mtukufu wa ramadhani pamoja wateja wake jijini Dar es Salaam.

Wageni mbalimbali kwenye hafla ya futari hiyo iliyoandaliwa na Idara ya biashara ya kampuni ya Vodacom Tanzania kuadhimisha mwezi mtukufu wa ramadhani pamoja wateja wake jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh Hamis Kigwangalla akizungumza katika hafla hiyo.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh Hamis Kigwangalla akisalimiana na Sheikh Othman Zuberi katika hafla ya futari iliyoandaliwa na kitengo cha Biashara cha kampuni ya Vodacom Tanzania kuadhimisha mwezi mtukufu wa ramadhani pamoja wateja wake hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Hisham Hendi na Mkurugenzi wa Biashara wa kampuni hiyo, Arjun Dhilon.

Picha za pamoja kwa ajili ya kumbukumbu kwa washiriki wa hafla hiyo.

Picha za pamoja kwa ajili ya kumbukumbu kwa washiriki wa hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment