RAIS DK MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UPANUZI KIWANDA CHA SARUJI, SONGWE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday 3 May 2019

RAIS DK MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UPANUZI KIWANDA CHA SARUJI, SONGWE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria upanuzi wa Kiwanda cha Saruji cha Mbeya kilichopo Songwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Saruji inayotengenezwa na kiwanda cha Saruji cha Mbeya kilichopo Songwe. PICHA NA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Songwe wakati akielekea kwenye kiwanda cha Saruji cha Mbeya ambapo aliweka jiwe la msingi la upanuzi wa kiwanda hicho.

No comments:

Post a Comment