RAIS DK MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA RAFIKI YAKE MAREHEMU FESTO ISOKOZA HOSPITALI YA JWTZ LUGALO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 16 May 2019

RAIS DK MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA RAFIKI YAKE MAREHEMU FESTO ISOKOZA HOSPITALI YA JWTZ LUGALO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa marehemu Festo Rutamigwa Isokoza alipoongoza waombolezaji kuaaga mwili huo katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo alifanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile JKT Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,  alikuwa rafiki mkubwa wa  Rais Dkt Magufuli ambaye  walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita  na baadaye elimu ya sekondary katika Seminari ya Katoke, Biharamulo mkoani Kagera.

ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa mkono wa pole kwa mjane Mama Anna Isokoza kuifariji familia ya  marehemu Festo Rutamigwa Isokoza alipoongoza waombolezaji kuaaga mwili  wa marehemu katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya  JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,  alikuwa rafiki mkubwa wa  Rais Dk. Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita  na baadaye elimu ya sekondary katika Seminari ya Katoke, Biharamulo mkoani Kagera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiongea machache baada ya kuongoza waombolezaji kuaaga mwili marehemu marehemu Festo Rutamigwa Isokoza katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha, alikuwa rafiki mkubwa wa  Rais Dkt Magufuli ambaye  walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita  na baadaye elimu ya secondary katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwasindikiza mjane Mama Anna Isokoza na familia ya  marehemu Festo Rutamigwa Isokoza baada ya kuongoza waombolezaji kuaaga mwili marehemu katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya  JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,  alikuwa rafiki mkubwa wa  Rais Dk Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita  na baadaye elimu ya secondari katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli  akiagana na waombolezaji baada ya kuongoza hafla ya kuaaga mwili marehemu marehemu Festo Rutamigwa Isokoza katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,  alikuwa rafiki mkubwa wa  Rais Dk. Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita  na baadaye elimu ya secondary katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli akiagana na askari  baada ya kuongoza hafla ya kuaaga mwili marehemu marehemu Festo Rutamigwa Isokoza katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania yaLugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,  alikuwa rafiki mkubwa wa Rais Dkt Magufuli ambaye  walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita  na baadaye elimu ya secondary katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli  akiagana na waombolezaji baada ya kuongoza hafla ya kuaaga mwili marehemu marehemu Festo Rutamigwa Isokoza katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,  alikuwa rafiki mkubwa wa  Rais Dk. Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita  na baadaye elimu ya secondary katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli  akiagana na waombolezaji baada ya kuongoza hafla ya kuaaga mwili marehemu marehemu Festo Rutamigwa Isokoza katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,  alikuwa rafiki mkubwa wa  Rais Dk. Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita  na baadaye elimu ya secondary katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.

No comments:

Post a Comment