NMB YAWEZESHA MJADALA WA MAONI KUKUZA UKUSANYAJI MAPATO JIJI LA DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 23 May 2019

NMB YAWEZESHA MJADALA WA MAONI KUKUZA UKUSANYAJI MAPATO JIJI LA DAR

Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge akizungumza na wadau mbalimbali (hawapo pichani) katika mkutano wa kupokea maoni toka kwa wadau anuai ili kuboresha sekta ya ukusanyaji mapato kwenye mkoa huo. 

Ofisa Mwandamizi Wateja wa Serikali, Bi. Vicky Bishubo kutoka NMB Makao Makuu (kulia) akizungumza katika mkutano wa kupokea maoni toka kwa wadau mbalimbali ili kuboresha ukusanyaji mapato Mkoa wa Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB, Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Badru Idd ambao ni wadhamini wa mkutano huo.

Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge akizungumza na wadau mbalimbali (hawapo pichani) katika mkutano wa kupokea maoni toka kwa wadau anuai ili kuboresha sekta ya ukusanyaji mapato kwenye mkoa huo. Kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB, Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Badru Idd ambao walidhamini mkutano huo.

Mwakilishi kutoka Chuo cha Kodi TRA, Emmanuel Masalu akiratibu majadiliano katika mkutano wa kupokea maoni toka kwa wadau anuai ili kuboresha sekta ya ukusanyaji mapato ya jiji la Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB, Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Badru Idd ambao ni wadhamini wa mkutano huo.

Sehemu ya washiriki wa mkutano wa kupokea maoni toka kwa wadau mbalimbali jijini Dar es Salaam ili kuboresha ukusanyaji mapato kwenye mkoa huo. 

Meneja wa Benki ya NMB, Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Badru Idd (kushoto) akizungumza jambo na Ofisa Mwandamizi Wateja wa Serikali, Bi. Vicky Bishubo kutoka NMB Makao Makuu kwenye mkutano huo.

No comments:

Post a Comment