KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI, ARCH. MWAKALINGA AFUNGUA MKUTANO WA MAFUNDI SANIFU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 24 May 2019

KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI, ARCH. MWAKALINGA AFUNGUA MKUTANO WA MAFUNDI SANIFU

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga akizungumza na washiriki wa Mkutano wa Pili wa Mafundi Sanifu Tanzania ulioandaliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam kabla ya kufungua rasmi mkutano huo leo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga (aliyeshika kipaza sauti) akifafanua masuala mbalimbali kwa washiriki wa Mkutano wa Pili wa Mafundi Sanifu Tanzania ulioandaliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam kabla ya kufungua rasmi mkutano huo leo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Eng. Profesa Ninatubu Lema akizungumza na washiriki wa Mkutano wa Pili wa Mafundi Sanifu Tanzania kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Arch. Mwakalinga.

Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Eng. Patrick Barozi akizungumza na washiriki wa Mkutano wa Pili wa Mafundi Sanifu Tanzania uliofanyika leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya washiriki wa Mkutano wa Pili wa Mafundi Sanifu Tanzania ulioandaliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mkutano huo.

Meza kuu kwenye Mkutano wa Pili wa Mafundi Sanifu Tanzania ulioandaliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB).

Mmoja wa washiriki wa Mkutano wa Pili wa Mafundi Sanifu Tanzania ulioandaliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) akiuliza swali kwenye mkutano huo.

Mmoja wa washiriki wa Mkutano wa Pili wa Mafundi Sanifu Tanzania ulioandaliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) akiuliza swali kwenye mkutano huo.

Mmoja wa washiriki wa Mkutano wa Pili wa Mafundi Sanifu Tanzania ulioandaliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) akiuliza swali kwenye mkutano huo.

No comments:

Post a Comment