RAIS MHE. DKT. SAMIA AKUTANA NA UONGOZI WA MTANDAO WA WANAWAKE VIONGOZI AFRIKA (AWLN), IKULU JIJINI DAR - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 20 April 2026

RAIS MHE. DKT. SAMIA AKUTANA NA UONGOZI WA MTANDAO WA WANAWAKE VIONGOZI AFRIKA (AWLN), IKULU JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Mtandao wa Wanawake Viongozi Afrika (AWLN) uliongozwa na Mlezi wake Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Liberia Mhe. Ellen Johnson Sirleaf, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Aprili, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwanachama wa Mtandao wa Wanawake Viongozi Afrika (AWLN) Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Shirikisho la Kidemokrasia la Ethiopia Mhe. Sahle - Worke Zewde mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Aprili, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Uongozi wa Mtandao wa Wanawake Viongozi Afrika (AWLN), uliongozwa na Mlezi wake Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Liberia Mhe. Ellen Johnson Sirleaf pamoja na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Shirikisho la Kidemokrasia la Ethiopia Mhe. Sahle - Worke Zewde, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Aprili, 2026.

No comments:

Post a Comment