WATAALAM MASUALA YA FEDHA, MANUNUZI, SHERIA NA WAHANDISI WIZARA YA UJENZI WAPATA MAFUNZO KUTUMIA MFUMO WA GePG - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 3 April 2019

WATAALAM MASUALA YA FEDHA, MANUNUZI, SHERIA NA WAHANDISI WIZARA YA UJENZI WAPATA MAFUNZO KUTUMIA MFUMO WA GePG

Muwezeshaji wa mfumo wa malipo ya Serikali kwa njia ya kielektroniki GePG Bw. Anthony Malambugi akifafanua jambo katika mafunzo ya namna ya kutumia mfumo huo kwa wataalam wa sekta ya ujenzi, mjini Dodoma.

Wataalam wa masuala ya fedha, manunuzi, sheria na wahandisi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), wakiwa katika mafunzo ya namna ya kutumia mfumo wamalipo ya Serikali kwa njia ya kielektroniki (GePG) mjini Dodoma.

Muwezeshaji wa mfumo wa malipo ya Serikali kwa njia ya kielektroniki GePG Bw. Anthony Malambugi (mbele) akifafanua jambo katika mafunzo ya namna ya kutumia mfumo huo kwa wataalam wa sekta ya ujenzi, mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment