VODACOM WAZINDUWA DUKA MASAKI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 16 April 2019

VODACOM WAZINDUWA DUKA MASAKI

Mkuu wa Bidhaa wa Vodacom, Linda Riwa (wapili kulia) na Devota Kijogoo (kulia) wakifurahia katika hafla ya uzinduzi wa duka la Vodacom Masaki, mapema leo. Kampuni hiyo inaendelea kutanua apatikananji wa huduma zake ili kuhakikisha kwamba wateja wake wanapata huduma bora.

Mkuu wa Bidhaa wa Vodacom, Linda Riwa (wapili kulia) na Devota Kijogoo (kulia) wakikata utepe kuzindua duka la Vodacom Masaki mapema leo. Kampuni hiyo inaendelea kutanua apatikananji wa huduma zake ili kuhakikisha kwamba wateja wake wanapata huduma bora.  

Mkuu wa Bidhaa wa Vodacom, Linda Riwa (watatu kulia) na Devota Kijogoo (wapili kulia) wakikata keki katika hafla ya uzinduzi wa duka la Vodacom Masaki. Kampuni hiyo inaendelea kutanua apatikananji wa huduma zake ili kuhakikisha kwamba wateja wake wanapata huduma bora.  

No comments:

Post a Comment