RAIS MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WASALI PAROKIA YA MT. MATHIAS MULUMBA, RUVUMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday 7 April 2019

RAIS MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WASALI PAROKIA YA MT. MATHIAS MULUMBA, RUVUMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika ibada ya dominika ya 5 ya Kwaresma katika Parokia ya Mt. Mathias Mulumba Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na Masista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Mathias Mulumba Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma mara baada ya Ibada ya dominika ya 5 ya Kwaresma. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Mathias Mulumba Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma mara baada ya kuwachangia shilingi milioni tano  kwa ajili ya ukarabati wa Kanisa hilo.

No comments:

Post a Comment