RAIS DK MAGUFULI ASALI MISA YA ALHAMISI KUU KANISA KATOLIKI LA MTAKATIFU PETRO, OYSTERBAY DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday 19 April 2019

RAIS DK MAGUFULI ASALI MISA YA ALHAMISI KUU KANISA KATOLIKI LA MTAKATIFU PETRO, OYSTERBAY DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki akishiriki Misa Takatifu ya Alhamisi Kuu katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. 

Waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay wakiwa katika Misa Takatifu ya Alhamisi Kuu kanisani hapo jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

Waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay wakiwa katika Misa Takatifu ya Alhamisi Kuu kanisani hapo jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA IKULU.

No comments:

Post a Comment