WAZIRI MKUU, MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU KAKA YAKE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 14 March 2019

WAZIRI MKUU, MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU KAKA YAKE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki ibada ya kumsalia marehemu kaka yake Mzee Said Majaliwa aliyefariki  Machi 12, 2019 katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa Machi 13.2019(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu kaka yake Mzee Said Majaliwa aliyefariki Machi 12, 2019, ambaye amezikwa machi 13.3.2019 katika makaburi ya familia, Nandagala Wilayani Ruangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa mkono wa pole wa marehemu kaka yake Mzee Said Majaliwa aliyefariki  Machi 12, 2019 na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dk. Mary Mwanjelwa, kijijini kwake Nandagala Wilayani Ruangwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


No comments:

Post a Comment