RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 11 March 2019

RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumapili Machi 10, 2019. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Kushoto kwake ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment