MAMA NAPONO SOKOINE AMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE, AMPA ZAWADI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 27 March 2019

MAMA NAPONO SOKOINE AMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE, AMPA ZAWADI

Mama Maria Nyerere akiwa na mgeni wake, mjane wa Waziri Mkuu wa zamani, Mama Napono Sokoine (kulia) aliyemtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto nyuma ni msaidizi wa Mama Maria, Wambura; Mbunge wa Viti Maalumu, Namelok Sokoine (wa pili kushoto), Elysia Sokoine na Ninai Sokoine. Mbuzi anayeonekana ni zawadi ya Mama Sokoine aliyompelekea Mama Maria. 

No comments:

Post a Comment