MAJALIWA AFUNGUA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO KANDA YA ZIWA, MWANZA - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Tuesday, 19 March 2019

demo-image

MAJALIWA AFUNGUA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO KANDA YA ZIWA, MWANZA

PMO_9297
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kufungua   Benki ya Mendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Kanda ya Ziwa kwenye Mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019.  Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent Bashungwa kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya TADB, Rosebud Kwiruja  na wapili kulia ni  Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Japhet Justine (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PMO_9329
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo baada ya kufungua  Benki ya Maendeleo ya Kilimo  Kanda ya Ziwa kwenye Mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019.  Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya TADB, Rosebud Kwiruja na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Japhet Justine. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PMO_9359
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Kanda ya Ziwa lililofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *