WANAOTUMIA 'MASTERCARD' NA 'NMB MASTERPASS' WAENDELEA KUJISHINDIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 5 February 2019

WANAOTUMIA 'MASTERCARD' NA 'NMB MASTERPASS' WAENDELEA KUJISHINDIA

Domitila Silayo (katikati) kutoka kitengo cha Kadi cha Benki ya NMB akiwasiliana kwa simu na mmoja wa wateja wa NMB waliobahatika kujishindia shilingi 100,000/- taslimu kwenye droo ya saba ya Shindano la MastaBata la NMB. Kulia ni Ofisa Mwandamizi Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Jehud Ngolo akisimamia droo hiyo na kushoto ni Bi. Saumu Rajabu kutoka Selcom. Katika droo hiyo wateja 20 walijishindia shilingi 100,000/- kila mmoja.

Domitila Silayo (kushoto) kutoka kitengo cha Kadi cha Benki ya NMB akiwasiliana kwa simu na mmoja wa wateja wa NMB waliobahatika kujishindia shilingi 100,000/- taslimu kwenye droo ya saba ya Shindano la MastaBata la NMB. Kulia ni Ofisa Mwandamizi Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Jehud Ngolo akisimamia uchezeshwaji wa droo hiyo.

Domitila Silayo (wa pili kushoto) kutoka kitengo cha Kadi cha Benki ya NMB akimpigia simu mmoja wa wateja wa NMB waliobahatika kujishindia shilingi 100,000/- taslimu leo kwenye droo ya saba ya Shindano la MastaBata la NMB. Kutoka kulia ni Mtaalamu kutoka kitengo cha kadi NMB, Florence Mchau, Ofisa Mwandamizi Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Jehud Ngolo pamoja na Bi. Saumu Rajabu kutoka Selcom (kushoto).

Domitila Silayo (wa pili kushoto) kutoka kitengo cha Kadi cha Benki ya NMB akifurahia jambo kwa njia ya simu na  mmoja wa wateja wa NMB waliobahatika kujishindia shilingi 100,000/- taslimu kwenye droo ya saba ya Shindano la MastaBata la NMB. Kutoka kulia ni Mtaalamu kutoka kitengo cha kadi NMB, Florence Mchau, Ofisa Mwandamizi Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Jehud Ngolo pamoja na Bi. Saumu Rajabu kutoka Selcom (kushoto).

No comments:

Post a Comment