UMOJA WA TANZANIA DALLAS WAPINGA KUHUSIKA NA 'TANZANIA DAY' DALLAS - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 20 February 2019

UMOJA WA TANZANIA DALLAS WAPINGA KUHUSIKA NA 'TANZANIA DAY' DALLAS

Soma taarifa ya Jumuiya hiyo kupinga

JUMUIYA ya Umoja wa Tanzania Dallas, Marekani imetoa taarifa ikipinga kuhusika na Onyesho la Tanzania Day. Jumuiya ya Umoja wa Tanzania Dallas imetoa taarifa hiyo kwa wadau na Watanzania wote popote pale kuwa umoja huo haiusiki na maonyesho yaliopewa jina 'Tanzania Day' yatakayofanyika huko Dallas nchini Marekani mwezi Aprili 2019.
Inasemekana onyesho hilo limeandaliwa na watu binafsi kwa maslahi yao na si jumuiya.

No comments:

Post a Comment