RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA AFISA MWENDESHAJI MKUU WA KAMPUNI YA BARRICK GOLD CORPORATION - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 20 February 2019

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA AFISA MWENDESHAJI MKUU WA KAMPUNI YA BARRICK GOLD CORPORATION

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ( kwa Afrika na Mashariki ya Kati) Bw. Willem Jacobs baada ya  kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaa leo Februari 20, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Florens Luoga wakiwa katika   mazungumzo na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ( kwa Afrika na Mashariki ya Kati) Bw. Willem Jacobs na ujumbe wake walipokutana Ikulu jijini Dar es salaa leo Februari 20, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Florens Luoga katika picha ya pamoja  na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ( kwa Afrika na Mashariki ya Kati) Bw. Willem Jacobs na ujumbe wake baada ya kukutana na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaa leo Februari 20, 2019. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment