VODACOM Tanzania waongeza ushiriki wa wasichana katika sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati (STEM), kupitia mafunzo ya teknolojia ya ku-code yaliyodhaminiwa na kampuni hiyo ambapo awamu ya pili ya mafunzo yaliyofanyika katika taasisi atamizi ya Dar Teknohama Business Incubator yalichukua siku tano na kuona wanafunzi 59 wakihitimu mafunzo hayo (DTBI).
Shirika la Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa linasema, 'ushiriki wa wanawake katika sayansi na
teknolojia ni mdogo ukilinganisha na wanaume. Hivyo Code like a girl ni programu ya kimataifa yenye lengo la kuandaa Wasichana kuwa na ujuzi unaohitajika katika soko la ajira ya technolojia.
Kwa kushirikiana na DTBi, mafunzo haya yalijumuisha elimu ya lugha za kompyuta na utengenezaji wa
programu kama HTML, CSS, GitHub and Bootstrap. Mafunzo yalitolewa kwa mfumo wa ushirikiano na yalijumuisha mafunzo ya kijamii pamoja na ku-code ili kuwasilisha mada na mawasiliano. kuwawezesha kutengeneza tovuti zao wenyewe. Washiriki pia walipewa mafunzo ya "Tumefurahishwa na idadi ya wanafunzi waliohudhuria semina hii, wiki ilifana na mafunzo mbali mbali ya maisha, coding, mawasilisho, pamoja na mafunzo ya ujuzi wa mawasiliano.
wao binafsi, "alisema Zaituni Ally, Mkuu wa kitengo kinachoangalia ufanisi Mwishoni mwa juma, wasichana walikuwa wamiliki wa tovuti ambazo walitengeneza Rasilimali Watu wa Vodacom, Bi Vivienne Penessis.”Leo, mabadiliko ya kidijitali wa shirika (Head of Organizational Effectiveness) akimuwakilisha Mkurugenzi wa
yanatokea kila mahali duniani, kwa hiyo, ni muhimu kuandaa wasichana kwa
awamu ya kwanza ya mafunzo, tuliona kuwa idadi kubwa ya wanafunzi, hasa wasichana katika shule za sekondari wanafundishwa kwa nadharia badala ya vitendo haya una lengo la kuwawezesha Wasichana nchini kote kupata elimu ya ICT, lakini kuhusiana na teknolojia ya Mawasiliano (ICT). Hivyo basi mkakati huu wa mafunzo wenzao wa kiume, "aliongeza.
pia kuwasaidia kupata fursa mbalimbali katika mazingira ya teknolojia kama vile Lengo la Vodacom ni kutoa fursa kwa wasichana nchini kote kushiriki katika masomo ya STEM; kwani "Coding ndio nati na spana za dijitali siku zijazo. Kupitia mipango kama hii, tunatarajia kuona wasichana wengi katika sekta ya Teknolojia. Pia kuwasaidia vijana kupanua ujuzi wao kupitia teknolojia ili Kuleta maendeleo nchini Tanzania "alielezea Bi Zaituni.
No comments:
Post a Comment