Muonekano wa Jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Mji wa
Serikali, Ihumwa, linaloendelea kujengwa na Mkandarasi Mzinga Holding
Company, tarehe 13 Januari, 2019, Dodoma.
|
Mmoja wa mafundi wa Mkandarasi Mzinga Holding Company, akijenga
sehemu ya ukuta wa jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu, katika mji wa serikali,
Ihumwa Dodoma, tarehe 13 Januari, 2019.
|
No comments:
Post a Comment