MH. KWANDIKWA AKAGUA BARABARA YA NYAMUSWA-BUNDA-KISORYA-NANSIO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 24 November 2018

MH. KWANDIKWA AKAGUA BARABARA YA NYAMUSWA-BUNDA-KISORYA-NANSIO

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias John Kwandikwa (mwenye miwani), akimsikiliza Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Nyanza Road Works Bwana, Avinash Patel (wa kwanza kushoto), wakati wa ukaguzi wa barabara ya Nyamuswa-Bunda-Kisorya-Nansio KM 121, ambapo sehemu ya Bulamba-Kisorya KM 51 ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea.

Muonekano wa barabara ya Nyamuswa-Bunda-Kisorya-Nansio KM 121, sehemu ya Bulamba-Kisorya KM 51 ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea.
IMETOLEWA NA KITENGO CHA HABARI NA MAWASILIANO WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO.

No comments:

Post a Comment