KAIMU BALOZI WA MAREKANI AKIWA ZIARANI MKOANI MBEYA KUKAGUA MIRADI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 4 October 2018

KAIMU BALOZI WA MAREKANI AKIWA ZIARANI MKOANI MBEYA KUKAGUA MIRADI

Kaimu Balozi wa Marekani nchini Dk. Inmi Patterson (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Bw. Albert Chalamila wakati alipomtembelea ofisini kwake kujitambulisha juzi. Dk. Patterson yuko katika ziara ya mikoa ya nyanda za juu kusini ya Mbeya na Songwe ambapo anakagua miradi inayofadhiliwa na serikali ya Marekani katika kilimo, afya na miundombinu.  (Picha: Ubalozi wa Marekani).

No comments:

Post a Comment