FMILIA ya GULAM DEWJI wazazi wa bilionea Mohamed Dewji 'MO' imetangaza kumzawadia fedha taslimu shilingi bilioni moja za Kitanzania kwa mtu yeyote atakaye fichuo MO alipo. Bilionea huyo anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana tangu Oktoba 11, 2018 majira ya asubuhi na haadi sasa hajulikani alipo.
Taarifa zaidi ya familia hii apa chini;-
No comments:
Post a Comment