THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

UCHAMBUZI

NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO VYA MIL. 19/- KWA TIMU ZA JWTZ

JOE MUSHIApr 16, 2025

NA MWANDISHI WETUJESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limeishukuru Benki ya NMB kwa namna inavyojitoa kuunga mkono Sekta ya Michezo ndani ya jeshi hi...

Habari Mpya

Soma Zaidi

Wednesday, 16 April 2025

WAZIRI KOMBO AHIMIZA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA UMOJA WA ULAYA

2 days ago 0

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Rais wa Bodi ya Wakurugenzi katika Wizara ya Mambo ya Nje, anayesimamia masuala ya Ulaya, na Ushirikiano wa Maendeleo ya Ufalme wa Ubelgiji Bi. The...

Soma Zaidi

NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO VYA MIL. 19/- KWA TIMU ZA JWTZ

2 days ago 0

NA MWANDISHI WETUJESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limeishukuru Benki ya NMB kwa namna inavyojitoa kuunga mkono Sekta ya Michezo ndani ya jeshi hilo, kwa kufadhili na kuwezesha ushiriki wa Timu za Majeshi katika michuano mbalimbali, pamoja na k...

Soma Zaidi

WANAWAKE CHAVITA WAMWANGUKIA RAIS SAMIA

2 days ago 0

p>Wajumbe wa Kamati ya Wanawake Chavita Taifa pamoja na wadau wengine wakiwa kwenye picha ya pamoja muda mfupi mkoani Morogoro jana baada ya kumaliza kikao cha uchechemuzi na ukusanyaji maoni kuhusu mkataba wa Itifaki ya masuala ya Ulemavu ya Afrik...

Soma Zaidi

Tuesday, 15 April 2025

WAZIRI MHAGAMA AWASILISHA UJUMBE MAALUM WA RAIS SAMIA KWA FALME YA ESWATINI

3 days ago 0

 Waziri wa Afya na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jenista Mhagama leo Aprili 15, 2025 amewasilisha ujumbe maalum kwa Ufalme wa Eswatini ambao umepokelewa na Waziri Mkuu wa Falme hiyo Mhe. Russell Mmiso Dlamini Jijini Mbabane, ...

Soma Zaidi

TMA YAPONGEZWA KWA UBORESHWAJI WA TAARIFA ZA HALI YA HEWA

3 days ago 0

 MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imepongezwa kwa uboreshwaji wa utabiri wa hali ya hewa na taarifa za tahadhari za matukio ya hali mbaya ya hewa nchini. Hayo yamesemwa na Mhe. Dkt. Rozalia Rwegasira,  Kaimu Katibu Tawala Mkoa, sehemu ya uch...

Soma Zaidi

WACHUNGAJI: MAONO YA ALEX MSAMA KUOMBEA UCHAGUZI MKUU 2025 NI YA MUHIMU KWA TAIFA

3 days ago 0

Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), baada ya kufanya kikao na viongozi wa dini, Aprili 12, 2025 Mgahawa wa Food Point jijini Dar es Salaam cha kujadili maandalizi ya uzinduzi wa Tamasha la ...

Soma Zaidi

EIB KUONGEZA UFADHILI KWA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI TANZANIA

3 days ago 0

Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) Mhe. Thomas Östros akisisitiza jambo alikuwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo mjini Luxembourg.BENKI ya Uwekezaji ya...

Soma Zaidi

DIASPORA UBELGIJI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MIRADI YA MAENDELEO NA KUDUMISHA AMANI

3 days ago 0

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Watanzania waishio Ubelgiji uliofanyika jijini Brussels, Ubelgiji.Sehemu ya Watanzania waishio Ubelgiji wakifuatilia mkutano.TATANZANIA wanao...

Soma Zaidi

Monday, 14 April 2025

MTANZANIA ASHINDA TUZO YA VIJANA WENYE USHAWISHI WA MAENDELEO AFRIKA

4 days ago 0

 Mtanzania Steven Magombeka Maarufu Kama Kasampaida ameshinda Tuzo ya Vijana Wenye Ushawishi Barani Afrika katika Tuzo zilizotolewa Usiku wa Kuamkia Leo jijini Accra Nchini Ghana Tuzo Zinazosimamiwa na Uongozi wa Vijana wa Pan African Tuzo hizi mas...

Soma Zaidi

RAIS MSTAAFU, MHE. KIKWETE AWASILISHA UJUMBE MAALUM WA RAIS SAMIA NCHINI GUINEA YA IKWETA

4 days ago 0

 RAIS Mstaafu wa Tanzania na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewasilisha Ujumbe Maalum ambao ulipokewa na Waziri wa Nchi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Guinea ya Ikweta, Mhe. Simeon Oyono Esono Angue, ...

Soma Zaidi
Page 1 of 165712345...1657Next »Last
Halotel+Mpango+Mzima

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *