TANZIA - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 23 September 2026

TANZIA

Marehemu Godlove John Mhando  (Maarufu Bonge), Enzi za Uhai wake.
.......................................

Mwanahabari Dotto Mwaibale anasikitika kutangaza kifo cha Mpwa wake Godlove John Mhando (Maarufu Bonge), kilichotokea Septemba 20, 2026  Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC), iliyopo mjini Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.


Habari ziwafikie ndugu, Jamaa na marafiki popote pale walipo.


Mazishi yake yatafanyika kesho Septemba 24, 2026 nyumbani kwake Kitongoji cha Misheni Kata ya Kwediboma, Wilaya ya Kilindi Mkoa wa Tanga.


Bwana alitoa na Bwana Ametwaa jina lake Lihimidiwe. 

No comments:

Post a Comment